Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo Aongoza Mamia ya Waombolezaji Kupokea Mwili wa Kofi Annan

Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo Aongoza Mamia ya Waombolezaji Kupokea Mwili wa Kofi Annan
Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo ameongoza mamia ya waombolezaji kuupokea mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Kofi Annan uliowasili nchini humo ukitokea Jijini Geneva nchini Uswisi.

Annan aliyewahi kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel(2001), alifariki August 18 mwaka huu baada ya kuugua kwa muda mfupi. Annan aliongoza Umoja wa Mataifa kuanzia Januari 1997 hadi December 2006



Aidha, aliwasili mkoani Mbeya (Tanzania) mwaka 2011 na kuitembelea taasisi ya ARI UYOLE inayojihusisha na masuala ya uboreshaji wa kilimo na utafiti katika nchi za Afrika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad