REAKING: Rais Magufuli Amtengua Susan Kolimba na Kumteua Damas Ndumbaro Kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje

REAKING: Rais Magufuli Katengua Uteuzi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Susan Kolimba

Rais wa Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kutengua Uteuzi wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Susan Kolimba
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad