Rosa Ree Ajisifia 'Nina Mashine Tight Sana..ila Naenjoy Mwenye Tango'

Kauli hii imethibitika vilivyo baada ya rapper wa kike anayesumbua hapa nchini Rosa Ree kuachia wimbo wake wa One Way.

Katika huu wimbo asilimia kubwa Rosa Ree anasifia maumbile yake ya ndani kwamba yanavutia sana tofauti na wanawake wengine.

Mfano kuna kipande ameimba hivi " Nipo tight sina rambo, nainjoi nikila tango" huu ni mfano tu wa mashairi katika wimbo wake wa One Way ambao ameuachia juzi

Tazama Video yake Hapa Umsikie

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad