RPC Arusha Afanya Ukaguzi “Gari ya Taka Haitakiwi Kuwa Takataka”

RPC Arusha afanya ukaguzi “Gari ya taka haitakiwi kuwa takataka”
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetoa mwezi mmoja kwa wamiliki wa gari ya taka kurekebisha magari yao ili yaweze kuendana na hadhi ya jiji la Arusha. Hatua hii imekuja baada ya jeshi la polisi kufanya ukaguzi wa magari hayo nakubainika kuwepo kwa magari mabovu yakubebea taka.

Akizungumza baada ya ukaguzi Kamanda wa Polisi Arusha Ramadhan Ng‘anzi amesema lengo ni kuhakikisha magari hayo hayawi kero katika maeneo yanayopita kukusanya takataka katika Jiji hilo la kitalii.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad