Sallam SK Adokeza Ujio Wa Kolabo Ya Diamond na Rihanna


Meneja wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Sallam SK amedokeza uwezekano wa Kolabo kati ya Diamond na staa wa RnB kutoka Marekani,  Rihanna.

Kwenye mahojiano na Kituo kimoja cha habari, Sallam SK alijibu maswali katika kipengele cha YES/NO au NDIO/HAPANA kwenye …swali la endapo kuna collaboration kati ya Diamond na Rihanna, Meneja alijibu YES.

Siku za nyuma kumsema wahi kuwa na tetesi kuwa Diamond ana mpango wa kufanya kolabo na Rihanna ingawa uongozi wa Diamond haujaongelea kiundani zaidi kuhusu kolabo hiyo.

Diamond tayari ameshafanya Kolabo na wasanii wakubwa Marekani kama vile Neyo katika wimbo wake wa ‘Marry me’ na Rick Ross wimbo wa ‘Waka waka’.


TAZAMA VIDEO MPYA YA ROSA REE HAPA CHINI ALIYOTOA LEO..
HAYO MAUNO SI YA NCHI HII:



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad