Sijaongea Yale Kutafuta Kiki, Mimi Mwenyewe Kiki Tosha, Siunaona Balaa Langu- Hamisa Mobetto

Sijaongea Yale Kutafuta Kiki, Mimi Mwenyewe Kiki Tosha, Siunaona Balaa Langu- Hamisa Mobetto
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amesema kuwa yale mengi aliyofunguka kuhusu maisha yake siyo Kiki kama watu wengi wanavyodhani kwamba kafanya vile ili kuboost wimbo wake bali ni vitu vya kweli ambavyo amezungumza.

Hamisa Mobetto ameongeza kwa kusema mara nyingi alikuwa akikwepa kuzungumza lakini ilibidi yeye kuongea yale kwaajili ya kulinda brand yake ambayo amedai aliona inachafuliwa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad