Web

“Sijawahi Kuona Bunge Linapelekwa na Serikali Kama Hili”–Halima Mdee

Top Post Ad

“Sijawahi Kuona Bunge Linapelekwa na Serikali Kama Hili”–Halima Mdee
September 4, 2018 Wabunge walikuwa wakijadili Muswada wa sheria ya kulitangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi wa mwaka 2018 (The Dodoma capital city Declaration Bill 2018) ambapo miongoni mwa waliopata nafasi ya kuchangia ni pamoja na Mbunge wa Kawe Halima Mdee ambaye amekosoa taratibu zilizotumika na Serikali katika kutekeleza mapendekezo hayo. VIDEO:

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.