Soma Story ya Kusikitisha ya Huyu Dada, Mume Wake Anamlazimisha Kufanya Mapenzi ya Watu Watatu na Amegundua Kuwa ni Shoga Pia

EMBU NGOJA NI SHARE NA NYIE BAADHI YA STORY NAZO POKEA INBOX...kuna dada nilikuwa naongeaga nae ila kutokana na sababu zangu nisingependa mtaja jina...naomba nikuletee Story yake ya kusikitisha Hapa Chini:
.
"Masta hata ukinipost kweny wall yako mungu nishaidi ila tangu nimekujua umekuwa mkarimu sana kwangu ndio maana leo hii nimeamua kukufungukia ili unisaIdie tu kimawazo maana kadri siku zinavyo zidi kwenda ndivyo nazidI changanyikiwa...

Kama nilivyo kwambia nimeolewa huu mwaka wa 3 mimi na mume wangU tumejuana huu unaenda mwaka wa 5, ilianza kama utanI baada nilipo jifungua mtoto wangU wa kwanza alipo fikisha miezI 8 sIku moja mume wangu alinitamkia habari ya ku invite 3 person in our bedroom nilijua utani so tukajibizana na alipoona sikupenda idea akaanza jichekesha na kusema he was joking yakaisha...ila baada ya miez kadhaa aliirudia hii mada tena ila this time alijipanga na kuni Converse sana yani alinipa darasa la uwakika nikajikuta nakubali, kesho yake kweli akaja na mdada mashallah mpaka nyumbani chumbani kwangu kikatokea cha kutokea ila baada ya hapo nilijiona mjinga sana nililia siku nzima but nilikuwa dhaifu coz usiku wake baby akanileta pochi jipya la prada nikaridhika...

Mchezo ulikuwa ni huo kwa takriban kama miez 6 nahis nilijikuta nazoea mpa nilipo jikuta nina mimba, for his respect mwenyewe alinitamkia kuwa we need to stop..ila sikumoja rafiki yake alikuja home amelewa na walikuwa wamegombana baada ya kutapeliana na alianza kumcharukia huku akimwita GAY sikutilia maanan coz nilijua ni mikwaruzano tu na pombe masta baada ya kujifungua mtoto wangu wa 2 in 6 month ananitamkia tena huo mchezo this time nilikuwa mkali coz tayari mtoto wang wa 1 alishaanza kuongea na sikutaka kaone huo ujinga pili habari zilikuwa zinasambaa kuwa mimi na mume wangu tuna huo mchezo..basi Masta nyumba ikaanza waka moto kila siku kelele siku moja alinitamkia kuwa either i like it or not ataendelea kufanya coz hiyo ndio furaha yake...

Wakati naenda Tanzania kwaajili ya holiday kutoka Mrekani napoishi tulichelewa ndege mimi na wanangu tulirudi home kwa kumshtukiza baada ya kuingia ndani nilimkuta mume wangu akifanya mapenzi na watu wawili mmoja alikuwa mwanamke yule wa mwanzo ambae alimleta first time mwengine mwanaume, that was the most painful thing nimewahi shuudia Masta nilihisi moyo umestop nilianguka chini huku nikiwa nimembabe mtoto wangu mdogo kifuani...nimekuja stuka niko hospital.

Kinacho niuma zaidi dada yangu baada ya kutoka hospital nilikuwa tayari kumsamehe mume wangu kama angeliniomba msamah lakini haikuwa hivyo baada ya Two Month ananiambia nichague moja NIENDELEE KUWA NA YEYE NA NIKUBALI MATAKWA YAKE YA KUINGIZA WATU NDANI AU TUACHANE...Masta nilikosa jibu na kujikuta natoa machozi aliniambia kuwa ananipa muda nijifikilie lakini sasa masta maneno ya watu kusema kuwa ni gay yalikuwa ya kizidi ila sababu sikuwa na uelewa mzuri wa haya mambo nilikuwa nikibisha coz mume wangu alikuwa na uwezo wa kunibebesha mimba...mpaka siku nyingine tena nilimfumania kwenye gari lake akiwa na mwanaume mwenzie wakifanya uchafu wao...

Dadangu roho inaniuma na siku nyingi sana nilikuwa natafuta njia ya kutoa hili dukuduku moyon coz sijawah muelezea mtu masta naogopa walimwengu watanicheka coz always huwa wananisema naringa na kujifanya kuwa nina pesa kisa navaa vitu vya gharama...baada ya hilo tukia mume wangu kwa mdomo wake alinitamkia kuwa yeye anai enjoy kufanya mapenzi na wanaume pamoja na wanawake at the same time so kama mke anataka nimsapoti...hivi navyo kwambia atanaka divorce kisa nimekataa kukubaliana na yeye na kuhusu watoto he doesnt seems to care masta wanangu bado wadogo na wakiume wameshazoea kila siku daddy daddy daddy coz ana waspoil mume ananambia nikiachana nae hataki kujua anything about me na watoto atakuwa anatuma tu pesa...shida sio pesa masta NISAIDIE NIFANYE NINI NAHISI NAKUWA KICHAA SOON...naogopa kuwaadisia ndugu na rafiki zangu Masta
.
.
MWISHO...DUH EMBU TUMSAIDIE HUYU DADA KIMAWAZO
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad