Spika Ndugai amelifuta swali la Mbumbe wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, lililokuwa likihoji juu ya madai ya CCM kupora mali za wananchi.
Spika amesema analifuta swali hilo kwa sababu halina ukweli na wala halihusiani kwa namna yoyote ile na Waziri wa Habari aliyeulizwa swali hilo