Tanzania Yapata Tuzo Kutoka Shirika la Afya Duniani
0Udaku SpecialSeptember 28, 2018
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akipokea tuzo ya Kimataifa ya kupambana na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza Duniani toka kwa Makamu Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Dkt.Soumya Swaminatha Mjini New York,Marekani.