Tanzia: Gwiji wa Muziki wa Reggae Nchini Afariki Dunia


Samwel Mleteni maarufu 'Jah Kimbute' amekutwa na mauti jioni ya jana Septemba 20 nyumbani kwake Msasani jijini Dar

Kwa mujibu wa mke wake, mipango ya mazishi na taratibu nyingine zitajulikana leo baada ya ndugu ambao wengi wanaishi Lushoto, mkoani Tanga kukutana

Amesema marehemu alikuwa akiishi na mwanae ambaye jana jioni alimkuta Jah Kimbute akiwa amefariki chumbani kwake

Jah Kimbute alitamba sana katika anga ya muziki hadi kupelekewa kuitwa 'Mfalme wa Reggae' Tanzania miaka ya 80 akiwa na kundi lake la Roots and Culture lililokuwa na makazi yake jijini Dar
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad