Huu kwa mujibu wa utafiti wa kabila zilizotoa wasomi wengi nchini tanzania.
1.wahaya wanapatikana mkoani kagera wakitokea bukoba na sehemu zingine za mkoa huoo
2.wagitaa wanapatikana wilaya ukerewe na musoma mjini na vijini mkoani mara
3.wachaga mkoani kilimanjaro wa wilaya ya moshi mjini,marangu,hai na sehemu zingine
4.wanyakyusaa mkoani mbeya wapo haswa wilaya ya kyela,songwe na zinginezo.
5.wakurya mkoani mara wilaya ya tarime na serengeti
6.wajaluo mkoani mara wilaya ya rorya na serengeti pia
7.wangoni wanatokea mkoa wa ruvuma
8.wapare wanatokea mkoa kilimanjaro wilaya ya same.
9.wasukuma hawa wapo mwanza na shinyanga
10.wanyamwezi hawa wanatokea mkoani tabora