Updates: Ajali ya Kivuko..Maiti 44 zaopolewa..Zoezi la Uokoaji Lasitishwa Hadi Kesho Alfajiri


Ambali na idadi hiyo ya waliofariki, Watu 37 wameokolewa katika ajali huku hali zao zikiwa mbaya

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella amesema zoezi la uokoaji limesitishwa kutokana na giza kuingia

Kivuko hicho kinachofanya safari zake kati ya Bugorola na kisiwa cha Ukara katika Wilaya ya Ukerewe jijini Mwanza kimepinduka leo majira ya saa nane mchana
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad