Updates: Watu 86 Wathibitishwa Kufa Hadi Sasa Ajali ya Kivuko cha MV Nyerere

Makundi ya uokoaji  yamerejelea shughuli zao kuwatafuta manusura kwenye ajali ya kivuko iliyopinduka huko ziwa Victoria.

Hadi sasa ni watu 86 ambao wamethibitishwa kufa. Watu 37 waliokolewa hiyo jana wakiwa hali mbaya kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela, ambaye amezungumza na vyombo vya habari leo asubuni.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad