Upendo Nkone "Mimi na Mume Wangu Huwa Tunagombana Sana"


"Japo mume wangu ni mchungaji, huwa tunagombanaga sometimes tunalianzisha, tunafunga milango. Tumeshanuniana karibu mwezi, kwa mfano unakuta kuna siku sijapika, huo ndiyo ugomvi mkubwa na mume wangu, akipika dada halafu kama akikuta chakula hakijakaa sawa, hapo sasa ndiyo utamjua mbena ni nani. || Ameyasema hayo Msanii wa Gospel Upendo Nkone.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad