Ushauri wa Mange Kimambi kwa Hamissa Mobetto "Usirudi Ulipotoka Kule Kuna Gundu"

Ushauri wa Mange Kimambi kwa Hamissa Mobetto "Usirudi Ulipotoka Kule Kuna Gundu"
Mwanadada mwanaharakati Mange Kimambia ameamua kumpongeza Mwanamitindo ambaye ni mzazi wa mwenzake na Daimond Platinum ambaye ni Hamissa Mobetto baada ya kupata ubalozi na kampuni moja hivi karibuni.

Mange ambaye kwa sasa ameonyesha mapenzi makubwa na Mobeto amempa ujumbe kuwa baada ya kuachana na mzazi mwanzake ambaye ni Daimond ndio chanzo cha mafanikio yote anaoyapata kwa sasa na amemtaka kutorudi tena huku akidai kuwa kule alipotoka kuna gundu.

Kupitia Instagram yake ameandika hivi;
lessings on blessings, congrats Misa. You are unstoppable now mama
.
.
So who lost?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 #TheDetainee .
.
Alafu usirudi ulipotoka, kule kuna gundu, toka umetoka huko milango yote inafunguka. .
.
#Repost @beffta_award with @get_repost
・・・
Congratulations Hamisa Hassan,Tanzania.Beffta Awards Nominee,
Best East African Woman Entrepreneur 2018 through hashtag votes.
#befftaawards.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad