VIDEO: CHADEMA wapinga kauli ya Rais Magufuli ..Nani aliwafundisha jinsi ya kuweka mimba?

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Septemba 12 kimezungumzia kauli ya Rais John Magufuli aliyoitoa akiwa ziarani mkoani Simiyu akiwataka wananchi wazae tu idadi ya watoto wanaotaka kwa sababu serikali ina uwezo wa kuwasomesha watoto hao bure na tayari inapeleka pesa hizo mashuleni kila mwezi

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad