VIDEO; Ebitoke amlilia Ben Pol “Huu ndio wimbo nilioutunga kwa ajili yake”



Msanii na mchekeshaji kutoka kundi la Timamu Ebitoke amefunguka mengi sana kuhusiana na kazi ya sanaa kwa ujumla lakini pia kuhusiana na maisha yake ya kimahusiano.
Ebitoke ameongea hayo wakati anapiga stori na Bongo Five na kusema kuwa kwa “sasa niko kwenye mahusiano mengine kabisa nimeshaachana na Ben Pol ingawa bado nampenda na nilishamuimbiaga mpaka nyimbo”

Tazama video hii:-




TAZAMA VIDEO MPYA YA ROSA REE HAPA CHINI ALIYOTOA LEO..
HAYO MAUNO SI YA NCHI HII:



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad