VIDEO: Madiwani Kinondoni Walivalia njuga Sakata la Mgambo wa Makonda


Sakata la operesheni ya usafi wa mazingira lililoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda  ambalo limeshirikisha askari 400 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili kuhakikisha jiji linakuwa safi limechukua sura mpya baada ya kuibuka kwenye baraza la madiwani Manispaa ya Kinondoni wakitaka kujua uhalali na sheria zinazosimamia operesheni hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad