VIDEO: "Mbowe, Mdee, Zitto Kabwe wanaongoza kupanda ndege za Magufuli" - MAKONDA

Baada ya barabara ya juu (flyover) Tazara kukamilika, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda amewaalika viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa vikiwemo vya upinzani kwenye uzinduzi wa Daraja hilo utakaofanyika siku ya alhamisi.

katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa anatoglo uliopo mnazi mmoja jijini Dar es salaam Makonda amesema kuwa Mbowe, Halima mdee na Zitto kabwe wanaongoza kupanda ndege za magufuli.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad