VIDEO: Peter Msigwa Amvaa Ally Hapi ''Mnamkuza Sana Hana Hadhi ya Kushindana na Mimi''

Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa amemtupia makombora Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi kwa kuhoji mpaka sasa amelifanyia nini Taifa zaidi ya kukemea na kutoa matamko tu, huku akisema Hapi anatamani ahamie CCM lakini bado yeye mpinzani na atandelea kuikosoa serikali pale inapokosea

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe KIBEKO.

    Wapi na wapi kwa RC Ali Hapi.

    Steve Nyerere anajipanga kuja chukua
    Jimbo lake. Hataki Kibeko hapo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad