VIDEO: Undani wa Ajali iliyotokea Jana Katika ziwa Victoria..


Ajali ya MV Nyerere....Miili ya watu 44 imeopolewa kutoka Ziwa Victoria baada ya kivuko kilichokuwa kimebeba mamia ya abiria kuzama jijini Mwanza Kaskazini magharibi mwa Tanzania... Mkuu wa wilaya ya Ukerewe,Kanali Lucas Magembe amesema waliokolewa wakiwa salama ni watu 37, watu 32 wako hospitalini kwa ajili ya matibabu

 Tazama VIDEO:


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad