Wabunge Walia na Mishahara ya Suma JKT, Wataka Ipandishwe

Wabunge Walia na Mishahara ya Suma JKT, Wataka Ipandishwe
Serikali imekiri kuwa mishahara wanayolipwa vijana wanaofanya kazi kampuni ya Suma JKT ni midogo na haikidhi mahitaji.

Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi amesema mazungumzo yanafanywa na uongozi wa kampuni hiyo ili kuboresha viwango.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad