“Wanaotoa Takwimu Feki Nitawashukia Kama Mwewe”-Waziri Ndalichako

Waziri wa Elimu, Sanyansi, Teknolojia  Prof. Joyce Ndalichako amesema kama kuna mtu atasema kuwa Serikali haitoi fedha za elimu kwa takwimu zisizo sahihi hatosita kumshukia kama mwewe. Waziri Ndalichako amesema hayo akiwa mkoani Dodoma wakati akifungua mkutano wa mwaka wa tathimini ya sekta ya wizara hiyo.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad