Watu Wasiojulikana Watoweka na Mwanamuziki wa Hip Hop


Mwanamuziki wa miondoko ya 'Rap' anayefahamika kwa kuikosoa Serikali ya Rais Joseph Kabila atoweka katika mazingira ya kutatanisha

Bob Elvis Masudi ametoweka tangu siku ya Jumatano wiki iliyopita. Mara ya mwisho aliaga kuwa anaelekea kwa Mtayarishaji wake wa nyimbo kwaajili ya kufanya maandalizi ya kutoa Albumu mpya

Famila yake imesema kuwa mpaka sasa wameshindwa kumpata kupitia simu yake wala kwenye Mitandao ya Kijamii

Kamanda wa Polisi wa Jiji la Kinshasa ameshangazwa na taarifa hizo huku akidai kuwa hakuna taarifa za kupotea kwa Msanii huyo zilizoripotiwa kwa Jeshi la Polisi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad