Waziri Kigwangalla Amuomba Prince William Helicopter nne

Leo September 28, 2018 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amekutana na kuzungumza na Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William ambaye yupo nchini kwa ziara ya siku tatu.

Prince William ambaye aliwasili nchini Septemba 26, 2018 kwa ziara maalum ambapo awali alikutana na Rais Magufuli na baadae kupokelewa ofisini kwa Waziri Kigwangalla, amesema kuwa amefurahia uwepo wake hapa nchini hali iliyopelekea kukaa kwa muda huo tofauti na Nchi zingine ambazo amekaa kwa siku moja.

Prince William ameweza kumtembelea Dk. Kigwangalla katika ofisi ndogo ya Wizarani ambapo katika mazungumzo baina ya wawili hao, ikiwemo suala la kuomba msaada wa kusaidia Sekta ya Utalii
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad