Waziri Lugola Aagiza Askari Alivyovunja Bunduki Kwenye Gwaride Apandishwe Cheo

Waziri Lugola Aagiza Askari Alivyovunja Bunduki Kwenye Gwaride Apandishwe Cheo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Kangi Lugola amefurahishwa na Polisi aliyeonesha ukakamavu katika gwaride mkoani Kigoma ni baada ya yeye kuwasili katika Kituo kikubwa cha polisi na kupokelewa na RPC Kigoma kisha gwaride la polisi kuchezwa mbele yake.

Wakati Waziri Lugola akiaangalia gwaride polisi mmoja silaha yake ikavunjika baada ya kuonyesha umahiri katika gwaride hilo ambapo Waziri alitoa maelekezo andikiwe jina lake na atamuombea apandishwe cheo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad