Waziri Lugola Apiga Marufuku Mgambo wa Makonda


Waziri Lugola ameitaka Halmashauri ya jiji la Dar kutafuta njia mbadala ya kushughulikia suala la usafi katika jiji hilo badala ya Mgambo waliowekwa na RC Makonda

Amesema vitendo vinavyofanywa na Mgambo hao, kuwapiga na kuwajeruhi Wananchi vimewaondolea sifa ya kuendelea kuwatumika Wananchi hao

Aidha, amewataka Walimu kutoa adhabu kwa mujibu wa sheria kwa lengo la kuwarekebisha Wanafunzi na si kuwakomoa kwa adhabu zisizofaa

Amesisitiza kuwa wote waliohusika watashitakiwa bila kujali vyeo, majina wala umaarufu wao kwa sababu hakuna aliye juu ya sheria
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad