Waziri Mkuu Asitisha Ziara Yake Dodoma....Aelekea Jijini Mwanza Kufatilia Ajali ya MV Nyerere

Waziri Mkuu Asitisha Ziara Yake Dodoma....Aelekea Jijini Mwanza Kufatilia Ajali ya MV Nyerere
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amesitisha ziara yake iliyokuwa ikiendelea mkoani Dodoma katika wilaya ya Chemba  na kuelekea mkoani Mwanza kwa ajili ya kuwafariji na kufuatilia tukio la ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV.Nyerere ambapo mpaka sasa wawtu 125  wameripotiwa kupoteza maisha

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad