Wema Sepetu si wa Mchezo, Atangaza Kushusha Bongo la Party Dar


Muigizaji wa Bongo movie mrembo Wema Sepetu amefunguka na kutangaza shughuli yake ambayo ameitangaza kama ‘Birthday Bash’ itakayofanyika tarehe 28 Septemba.

Wema ametangaza kuwa  tiketi za ‘Birthday Gala’ zitaanza kuuzwa rasmi kuanzia kesho (Jumamosi) huku bei elekezi zikiwa ni 50000 kwa tiketi moja na kwa meza ya watu 10 ikiwa ni tsh 500,000.

Mrembo huyo atafanya matukio mawili kwa pamoja, uzinduzi wa filamu yake mpya ‘Dad’ alioshirikiana na Van Vicker kutoka Nigeria pamoja na kusherekea birthday yake ambayo ameiita Bithday Gala.
Wow…!!! Two weeks to Go… Nikimaanisha 14 Days… Haiya kazi ya Card kesho inaanza Inshallah… Zipo Chache sana… Zitakapokuwa SOLD OUT usilaumu mtu… 💋💋💋

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad