Wolper Ajifananisha na Rihana " Mimi ni Rihana wa Bongo Sijaona Designer wa Kushindana na Mimi"

Wolper Ajifananisha na Rihana " Mimi ni Rihana wa Bongo Sijaona Designer wa Kushindana na Mimi"
Mwanamitindo Jacqueline Wolper amesema kwamba yeye ni Designer bora kwa hapa bongo kiasi cha kwamba hakuna wakumshindanisha naye kutokana na ubunifu wake alionao kwenye mavazi mpaka kujilinganisha na Rihana kwa kusema yeye ni ‘Rihana wa Bongo‘.

Wolper ameyazungumza hayo kwenye mahoajiano na Ayo TV na millardayo.com ambapo ameyasema hayo wakati alipokuwa akijibu swali kuhusu vazi lake analolitaka kulileta hapa bongo litakalo kuwa kivutio kama mavazi ya Nigeria, huku akihusisha na swala la mitandao jinsi inavyomtaka yeye kuonesha mpenzi wake kuliko kazi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad