Yanga Yatangaza Michango Waliokusanya

Yanga yatangaza michango waliokusanya
Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza michango ya fedha iliyoingia klabuni kupitia michango ya wanachama na mashabiki wake kwa mwezi wa 8.

Michango hiyo ambayo imeanza kuchangwa kuanzia Agosti 2 mpaka kufikia jana Agosti 31, imefikia kiasi cha shilingi za kitanzania milioni 29,316,092.

Licha ya kukusanya kiasi hicho cha fedha, uongozi Yanga umezidi kuwaomba wapenzi, mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kuendelea kujitoa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad