Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao MhbUhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.
Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hata kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.
TAZAMA VIDEO:
This idiot MUST be deported back to China ASAP! Wametuzoea sasa! @ODPP_KE @FredMatiangi pic.twitter.com/NxV9ark2Ve— Babu Owino (@Babu_Owino) September 5, 2018
ninavyoona mimi wachina ndiyo watu ambao hawapendwi duniani sababu ya sura zao na macho Yao yaani karibu wachina wote wanafanana sura ni heri sisi waafrika kuliko wachina
ReplyDelete