Yule Mchina Aliyetukana Kibaguzi na Kumwita Rais Kenyatta Nyani Afukuzwa Kenya



Yule Mchina ambaye clips zake zimesambaa mitandsoni akitukana waafrika kuwa wananuka pamoja na rais wao MhbUhuru Kenyatta, amepigwa PI(Prohibited Immigrant) na kuondolewa nchini Kenya ndani ya masaa 24 baada ya kukamatwa.

Naipongeza Serikali ya Kenya kwa hata kali na ya haraka.
Vile vile napongeza matumizi mazuri ya kizalendo kufichua uozo na dharau zinazoonyeshwa na wageni walio na ujinga kichwani.

TAZAMA VIDEO:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ninavyoona mimi wachina ndiyo watu ambao hawapendwi duniani sababu ya sura zao na macho Yao yaani karibu wachina wote wanafanana sura ni heri sisi waafrika kuliko wachina

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad