$500 kuhudhuria party ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz.

Habari waungwana,Msanii asiyeishiwa skendo Tanzania Baba Nyllan au Baba Makabila(Diamond Platnumz) anatarajia kafanya party kubwa hapo Juma Pili kwa kingiilio cha Dola za marekani 500 kwa tiketi moja,Na Tiketi zigawiwa kwa salam sk meneja wake kwa Sisi tusiokuwa na mapene tutaichungulia kwa instagram na JF Pekee. Hongera wenye PESA Kama hizo kuingia kwa party hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad