
Aliyefariki ni dereva wa gari aina ya Land Cruiser iliyogongana uso kwa uso na basi hilo

Inaelezwa kuwa Dereva huyo alikuwa akijaribu kulipita Lori lililokuwa mbele yake bila ya tahadhari

Ajali hii iliyosababisha majeruhi wawili imetokea wilayani Kakonko mkoani Kigoma