Alberto Msando " Alichofanya Diamond kwa Wana Tandale ni Sadaka Kubwa Sana"


From @albertomsando - Alichokifanya @diamondplatnumz ni jambo ambalo anastahili kupongezwa sana. Kuamua kusheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kusema “AHSANTE” kwa jamii aliyokulia ni jambo jema sana. Mungu anapokuinua ana sababu zake. Unapaswa kukumbuka ulipotoka na kuinua wengine kwa kadri ulivyojaliwa.

Hiyo ni sadaka kubwa sana. Nadhani wasanii wengine watajifunza jambo. Muhimu tu kutokuiga na kujidai ufanye kama Dangote. Jikune unapoweza. Sio mashindano.

@diamondplatnumz endelea kubarikiwa zaidi. Happy Belated Birthday #Simba.🙏
#TheDon. Kuna mtu juzi anasema ‘aisee alichofanya @diamondplatnumz nimetoa chozi’. Nilichosema ‘wewe mwenzako anatoa gari wewe unatoa chozi’ #Hatufanani #WengineWametoaMapovu. #LifeLessons @the_donsgroup

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad