Anguko la Uchumi wa Zimbabwe, Bidhaa za Magendo Zatamba Mtaani


Anguko hilo limepelekea kuadimika kwa baadhi ya bidhaa katika maduka makubwa ya nchi hiyo

Sukari ya magendo yauzwa kiholela. Wauzaji wamepata ujasiri baada ya kubaini Wananchi hawana chaguo jingine

Kiwango cha ukosefu wa ajira chafikia asilimia 90 na kuweka rekodi mpya katika kipindi cha muongo mmoja uliopita

Thamani ya fedha ya nchi hiyo yaporomoka na kukosa nguvu ya manunuzi katika soko
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad