HomeAjaliBasi la Tashiriff Lateketea kwa Moto Tanga Basi la Tashiriff Lateketea kwa Moto Tanga 1 Udaku Special October 24, 2018 Basi la Kampuni ya Tashriff limeteketea kwa moto leo asubuhi karibu na Kituo cha Mafuta kilichopo Kange Mkoani Tanga. Hakuna abiri aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa. Aidha, thamani ya mali zilioteketea bado haijafahamika. Endelea kufuatilia taarifa zetu, tutakujuza zaidi. Tags Ajali Newer Older
Kesi za mabus kuteketea moto zimekuwa nyingi. Nini change? Wizara husika mmechukua hatua zipi kuzuia?
ReplyDelete