Breaking: Moto Wawaka Katika Jengo la Benjamini Mkapa, Millennium Tower Dar

Breaking: Moto Wawaka Katika Jengo la Benjamini Mkapa, Millennium Tower  Dar
Moto umezuka leo katika jengo la Benjamin Mkapa, Millennium Tower – Dar ambapo unasadikiwa umeanzia kwenye ghorofa ya tatu. Wageni na wafanyakazi wamekimbia kwa taharuki huku ikidikiwa kuna wengine wamekwama kwenye lifti ya jengo hilo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad