BREAKING: Watumishi 11 wa Benki Wanaswa na TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Kinondoni leo October 8 2018 imewafikisha Mahakamani watumishi 11 wa Benki ya CRDB kwa makosa yapatayo 404 ikiwa pamoja na kosa la kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya MILIONI  500  fedha za Mamlaka ya Elimu Tanzania ‘TEA’.

Watuhumiwa wote 11 pamoja na aliyekuwa Mwandamizi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Isaya Paul wanatuhumiwa kutenda makosa hayo kati ya mwaka 2010 na 2013, na kwamba uchunguzi wa tuhuma hizi umekamilika. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama hii video hapa chini VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad