Diwani Pekee wa CHADEMA Ngorongoro Ang’atuka “CCM Dume la Mbegu”

Leo October 25, 2018 Diwani wa Kata Misigiyo, Daniel Lorumunyey amejiuzulu nafasi yake ya Udiwani nakujiunga na CCM kwa kumuunga mkono Rais Magufuli huku akipokelewa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ole Nasha ambaye ni Mbunge wa Jimbo hilo la Ngorongoro huku CCM ikisema diwani huyo alikuwa ni kupe. VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad