Familia ya Mo Dewji Kuzungumza na Waandishi wa Habari Leo

Familia ya Mo Dewji Kuzungumza na Waandishi wa Habari Leo
Familia ya Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’, aliyetekwa siku ya Alhamis na watu wasiojulikana, itaongea na Wandishi wa habari leo mchana katika Jengo la Golden Jubilee jijini Dar es Salaam.



Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Kampuni ya mohammed Enterprises Tanzania Limited MeTL Group wameandika;

“Familia ya Dewji inawakaribisha wanahabari kutoka vyombo vyote vya habari katika mkutano utakaofanyika leo saa 6:30 mchana katika ofisi za kampuni ya MeTL Group zilizopo katika jengo la Golden Jubilee Towers ghorofa ya 20 mtaa wa Ohio, Posta jijini Dar es Salaam.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad