Fid Q Amshukuru Rapa Rosa Ree Baada ya Kupanda nae Jukwaani Fiesta Morogoro


Fidq amshukuru mwanadada huyo kwa kuandika maneno kuntu kwenye ukurasa wake wa instagram!

Fidq aliwapa suprise mashabiki wake kwenye Fiesta Morogoro kwa kumpandisha rapa wa Kike Rosaree kuimba wimbo aliomshirikisha wa Ole Chiza hata hivyo Rosaree hakuperform nyimbo zake na wala hakuwa ametangazwa kuwa mmoja wa wasani ambao wangepanda jukuani siku ya uzinduzi wa TigoFiesta 2018.

Baadhi ya Mashabiki Rosaree walimuendea kwenye comments instagram na kumlalamikia kwanini hakuendelea kuperform nyimbo zake zingine

Kwa upande mwingine Rosa Ree nae alimshukuru Fid Q kwa kuandika haya:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad