Haji Manara Ampa Makavu Kocha Yanga Mipango yake ya Kulinda na si Ushindi " Zingeingia Zote Ungewaeleza Nini?"

Haji Manara Ampa Makavu Kocha Yanga Mipango yake ya Kulinda na si Ushindi " Zingeingia Zote Ungewaeleza Nini?"
Mpira ni mchezo wa hadharani hauchezewi chumbani, sijaelewa Kocha aliposema walikuja kulinda huku akiruhusu Simba watengeneze nafasi.

Kwa kadri nnavyofahamu unapocheza mpira wa kujilinda, hupaswi kuruhusu mpinzani wako kutengeneza nafasi na humpi hyo nafasi.

Kocha anajisifu wakati umepigiwa mipira iliyolenga lango na ambayo haijalenga 10 kumi, fikiria zingeingia!

Kocha anaekuja na mipango ya kujihami hakupi nafasi ya kulisogea goli, utaishia nje ya 18 hii ni hadaa kubwa.

Hivi angewaeleza nini kama zile tageti zingejaa? Kwangu mimi narudia nyota wa mchezo ni Kakolanya na bahati tu si kwa mbinu zile za kuruhusu shots on & off 20.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad