Haji Manara Awatoa Hofu Wanasimba na Wapenzi wa Mo Dewji " Atapatikana Akiwa Mzima"

Haji Manara Awatoa Hofu Wanasimba na Wapenzi wa Mo Dewji " Atapatikana Akiwa  Mzima"
MSEMAJI wa KLABU ya Simba, Haji Manara amewaomba wanachama na wapenzi wa Simba watulie na kuacah vyomba vya usalama vifanye kazi yake.

Manara amesema Tumeshtuka lakini tuna uhakika vyombo vya dola vitafanya kazi yake kwa weledi na MO atapatikana Tu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad