Hamad Masauni "Serikali Haiwezi Kuruhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama Kutoka nje ya nchi"


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema Serikali haiwezi kuruhusu vyombo vya ulinzi na usalama kutoka nje ya nchi kuchunguza tukio la kutekwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ kwani Vyombo vya ndani ni vyakuaminika hivyo Hakuna msaada unaohitajika kutoka Nje ya Nchi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad