Majizo ambae ni bosi wa EFM, pia kwa sasa yukoa katika mahusiano na mwanadada Lulu Michael na septemba 30 mwaka huu amemvisha pete ya uchumba mwanadada huyo.
Pamoja na kwamba hamisa na lulu wamejikuta wakiwa na mahusiano na mwanaume mmoja kwa nyakati tofauti lakini wawili hao hawajawahi kuripotiwa kuwa na ugomvi hata mara moja na hata kufikia hatua ya mtoto wa hamisa kukaa kwa Lulu akiwa kama mama.
Katika wanaume wote niliwahi kuwa nao , niliempenda na alikuwa amaizingi ni baba fantancy, ambae ni baba wa mtoto wangu, ni mpole, mkarimu, na pia ana heshimu amekuwa akiheshimu sana watu.