Hamisa Mobetto " Nilimpenda Sana Majizzo na Alikuwa Amaizing"

Mwanadada Hamisa Mobeto amefunguka na kusema kuwa katika wanaume wote aliwahi kuwa nao katika mahusiano ni mwanaume mmoja tu tu ndio alikuwa akimpenda sana na alikuwa amaizing katika mahusinao alikuwa ni baba Fantancy amabe ni baba wa mtoto wake wa kwanza ambae wengi wanamjua kwa jina la majizo .

Majizo ambae ni bosi wa EFM, pia kwa sasa yukoa katika mahusiano na mwanadada Lulu Michael na septemba 30 mwaka huu amemvisha pete ya uchumba mwanadada huyo.

Pamoja na kwamba hamisa na lulu wamejikuta wakiwa na mahusiano na mwanaume mmoja kwa nyakati tofauti lakini wawili hao hawajawahi kuripotiwa kuwa na ugomvi hata mara moja na hata kufikia hatua ya mtoto wa hamisa kukaa kwa Lulu akiwa kama mama.

Katika wanaume wote niliwahi kuwa nao , niliempenda na alikuwa amaizingi ni baba fantancy, ambae ni baba wa mtoto wangu, ni mpole, mkarimu,  na pia ana heshimu amekuwa akiheshimu sana watu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad