Hans pope Afikishwa Mahakamani Kusomewa Mashtaka Yanayomkabiri

Hanspope Afikishwa Mahakamani Kusomewa Mashtaka Yanayomkabiri
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hanspope amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayomkabili.

April 2018, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushqa (TAKUKURU) ilitangaza dau nono la Shilingi Milioni 10 kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa mfanyabiashara huyo na mwenzake Frank Lauwo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad